WEBVTT
Kind: captions
Language: sw

00:00:02.500 --> 00:00:07.430
Chunguza dunia yako kupitia picha kamili
za Ramani mpya za Google.

00:00:07.430 --> 00:00:14.430
Kuna njia chache rahisi za kufikia picha:
kadi ya maelezo chini ya kisanduku cha utafutaji na

00:00:14.430 --> 00:00:17.849
mkanda ulio chini ya skrini.

00:00:17.849 --> 00:00:22.750
Kwanza, kuza ndani na ubofye mahali popote kwenye
ramani.

00:00:22.750 --> 00:00:26.660
Anwani na picha ya  Street View zitatokea
kwenye kadi ya maelezo.

00:00:26.660 --> 00:00:31.230
Bofya kijipicha ili kuingia katika Street View,
kisha ujielekeze kwa kushikilia kipanya

00:00:31.230 --> 00:00:36.420
na kuburuta, au kwa kutumia dira.

00:00:36.420 --> 00:00:41.350
Kisha bonyeza tu barabara unayotaka kusafiria.

00:00:41.350 --> 00:00:44.800
Unataka kuangalia biashara iliyo karibu na wewe kabla
ya kuitembelea?

00:00:44.800 --> 00:00:51.800
Angalia Street View au uchunguze mambo ya ndani
kwa kubonyeza "Angalia ndani."

00:00:54.670 --> 00:00:59.100
Kama ungependa kuona ulimwengu kupitia macho
ya mtu mwingine, angalia picha zetu

00:00:59.100 --> 00:01:04.720
zilizochangiwa na watumiaji, zinazoonyeshwa kwa ikoni ya kamera.

00:01:04.720 --> 00:01:10.350
Usikomee hapo! Ona Picha mpya za Ziara
kwa kubofya vijipicha vilivyoalamishwa kwa ikoni ya kucheza.

00:01:10.350 --> 00:01:16.560
Hali hii ya kuvutia ya 3D inatokana
na picha zilizopakiwa na watumiaji kama wewe, inapatikana

00:01:16.560 --> 00:01:18.530
kwa zaidi ya tovuti 60,000 maarufu duniani kote.

00:01:18.530 --> 00:01:21.100
 

00:01:21.100 --> 00:01:25.810
Hatimaye, chunguza Dunia kutoka juu kwa kutumia
mwonekano wa Dunia.

00:01:25.810 --> 00:01:30.689
Kama unatumia kivinjari kinachofaa, unaweza kukuza karibu na uone majengo yanayoonyeshwa katika 3D.

00:01:30.689 --> 00:01:37.689
Paneli dhibiti iliyo kulia chini itakuruhusu
kuinamisha na kuzungusha mwonekano wako.

00:01:39.659 --> 00:01:44.509
Au kuza nje kabisa.......na ufurahie mwonekano.

00:01:44.509 --> 00:01:46.939
Pata Ramani mpya za Google.

