WEBVTT
Kind: captions
Language: sw

00:00:02.419 --> 00:00:05.759
Utafutaji ni dhabiti zaidi kuliko wakati mwingine wowote katika
Ramani mpya za Google.

00:00:05.759 --> 00:00:10.320
Ili kuujaribu, tafuta mahali maalum
na uone maelezo ya eneo yaliyoonyeshwa katika

00:00:10.320 --> 00:00:13.990
kadi ya maelezo hapa chini ya kisanduku cha utafutaji.

00:00:13.990 --> 00:00:16.470
Unajua unachotaka lakini huna uhakika utakipata
wapi?

00:00:16.470 --> 00:00:19.690
Jaribu kutafuta aina ya maeneo, kama vile
"mikahawa karibu na Bustani Kuu"

00:00:19.690 --> 00:00:24.980
Utaona pia utafutaji unaohusiana ili kukusaidia kupata matokeo muhimu zaidi.

00:00:24.980 --> 00:00:29.779
Matokeo ya utafutaji wako wote hutokea kwenye ramani,
jina la biashara likiwa limeonyeshwa vizuri.

00:00:29.779 --> 00:00:34.800
Angalia kwa makini: ikoni za kipekee hukusaidia
kubaini aina tofauti za biashara.

00:00:34.800 --> 00:00:39.749
Ikoni kubwa nyekundu huashiria matokeo
muhimu zaidi ya hoji lako.

00:00:39.749 --> 00:00:44.289
Kumbuka kwamba unapobofya kati ya ikoni,
ramani hubadilika ili kuonyesha barabara na maeneo

00:00:44.289 --> 00:00:49.760
yanayohusiana na kila eneo.

00:00:49.760 --> 00:00:55.319
Mara tu unapochagua eneo, kadi za maelezo
zitatokea zikionyesha maelezo muhimu ya biashara.

00:00:55.319 --> 00:01:00.239
Kabla ya kuteua mahali pazuri, angalia
picha za Street View au angalia kwa karibu kwa

00:01:00.239 --> 00:01:06.090
kubofya "ona ndani."

00:01:06.090 --> 00:01:12.880
Ukiamua mahali pa kwenda, maelekezo,
saa, maoni na zaidi yako umbali wa mbofyo mmoja tu.

00:01:12.880 --> 00:01:17.630
Ikiwa na mitaa na maeneo muhimu zaidi inayoonyeshwa, ni wazi jinsi ya kufika utakapo.

00:01:17.630 --> 00:01:19.810
Na jinsi ya kufika nyumbani.

00:01:19.810 --> 00:01:20.850
Pata Ramani mpya za Google.

