WEBVTT
Kind: captions
Language: sw

00:00:02.350 --> 00:00:05.120
Jifunze kupata maelekezo kwenye Ramani mpya
za Google.

00:00:05.120 --> 00:00:07.160
Kupata maelekezo ni rahisi.

00:00:07.160 --> 00:00:11.770
Anza kutoka kwenye kisanduku cha utafutaji na utafute
eneo maalum.

00:00:11.770 --> 00:00:16.410
Kisha ubofye Maelekezo.

00:00:16.410 --> 00:00:19.380
Ongeza mahali pa kuanzia.

00:00:19.380 --> 00:00:24.470
Chaguo mbalimbali za usafiri zitatokea
kwenye ramani na chini ya Kisanduku cha utafutaji.

00:00:24.470 --> 00:00:30.180
Ili kubadili maelekezo yako, bofya vishale
upande wa mkono wa kushoto.

00:00:30.180 --> 00:00:35.239
Njia bora zaidi huonyeshwa kama chaguo-msingi, lakini
unaweza kuchagua kutazama maelekezo ya kuendesha, usafiri wa umma,

00:00:35.239 --> 00:00:38.109
kutembea, au kuendesha baiskeli.

00:00:38.109 --> 00:00:43.809
Njia bora ya unakokwenda
huangaziwa kwanza kila mara katika rangi ya bluu.

00:00:43.809 --> 00:00:49.179
Chunguza chaguo zingine kwa kubofya mistari
ya njia au katikati ya kadi ya maelezo ya njia.

00:00:49.179 --> 00:00:56.179
Kama unaenda kwa gari, bofya menyu ya
"Chaguo" ili kuepuka barabara kuu na vituo ushuru.

00:00:56.179 --> 00:01:01.159
Au bofya "hatua kwa hatua" ili kuona maelekezo ya kina
ya kuendesha.

00:01:01.159 --> 00:01:04.720
Ili kurudi nyuma, bofya tu "Mwonekano Kamili wa Ramani"

00:01:04.720 --> 00:01:10.899
Kama unatumia usafiri wa umma, unaweza kuona
muhtasari wa njia kwa haraka.

00:01:10.899 --> 00:01:14.439
Bofya chaguo Zaidi na nyakati kwa mwonekano
wa safari yako.

00:01:14.439 --> 00:01:19.460
Kichunguzaji cha Ratiba huifanya rahisi kulinganisha
safari kulingana na idadi ya uhamisho, muda

00:01:19.460 --> 00:01:21.250
wa safari, na umbali wa kutembea.

00:01:21.250 --> 00:01:25.479
Bofya njia yoyote ili kupata maagizo
ya hatua kwa hatua.

00:01:25.479 --> 00:01:32.479
Ukiwa nyumbani au safarini, Ramani
za Google zitakufikisha utakapo.

00:01:32.759 --> 00:01:33.869
Pata Ramani mpya za Google.

